Back to home
Mkandarasi kuendelea na ujenzi wa bwawa la Thwake baada ya miaka miwili
video
C
Citizen TV (Youtube)September 1, 2026
1h ago
Ujenzi wa bwawa la Thwake uliokuwa umekwama kwa miaka miwili kutokana na ukosefu wa fedha utaanza tena baada ya serikali kupata shilingi Bilioni 10.6 zilizokuwa zimesalia kutoka kwa Benki ya maendeleo ya Bara Afrika.
Advertisement
Advertisement





