Back to home

Hali ya kawaida warejea JKIA baada ya mgomo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 2, 2026
2h ago
Hali ya kawaida imerejea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, siku moja baada ya Muungano wa Wafanyakazi wa Viwanja vya Ndege (KAWU) kusitisha mgomo uliotatiza shughuli za usafiri wa anga.
Advertisement