Back to home
Watu watatu wauawa kwenye uvamizi wa wizi wa mifugo Turkana Kusini
video
C
Citizen TV (Youtube)September 3, 2026
1h ago
Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Lokwaar,Nakuse eneo bunge la Turkana Kusini,, baada ya watu watatu kuuliwa na wezi wa mifugo wanaodaiwa kutoka kaunti jirani. Katika mashambulizi hayo ya usiku wa manane,mifugo zaidi ya elfu mbili waliibwa
Advertisement
Advertisement





