Back to home
Wakulima Kitale wahimizwa kukumbatia mbinu mpya za kilimo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 4, 2026
1h ago
Wakulima katika Kitale wamehimizwa kukumbatia mbinu mpya za kilimo ili kuongeza uzalishaji na kuboresha mapato yao. Wataalamu wameandaa warsha ya kuwapa wakulima maarifa na ujuzi mpya kabla ya maonyesho ya kilimo.
Advertisement
Advertisement


![| Shajara na Lulu | Simulizi ya Stanley Dzuya ambaye anaugua ugonjwa wa Figo [Part 2]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-Shajara-na-Lulu-_1788515585-16x9.jpg)
![| Shajara na Lulu | Simulizi ya Stanley Dzuya ambaye anaugua ugonjwa wa Figo [Part 1]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-Shajara-na-Lulu-_1788515586-16x9.jpg)

