Back to home

Wafanyakazi wa viwanda vya sukari wadai malipo, watishia kugoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 4, 2026
1h ago
Wafanyakazi wa baadhi ya viwanda vya sukari wanadai kulipwa mishahara na malipo mengine wanayodai hawajapokea. Wafanyakazi ambao hawajalipwa wametishia kugoma iwapo madai yao hayatashughulikiwa.
Advertisement