Back to home
Vijana waandamana Machakos kushinikiza kupitishwa kwa bajeti ya Sh17.8B
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2026
2h ago
Kundi la vijana limeandamana likishinikiza Bunge la Kaunti ya Machakos kupitisha bajeti ya Sh17.8 bilioni. Bunge hilo limekataa kupitisha bajeti hiyo.
Advertisement
Advertisement




