Back to home
Wageni wapewe siku 90 kupata vibali vya kuwa nchini
video
C
Citizen TV (Youtube)September 8, 2026
2h ago
Wageni walioko nchini wamepewa siku 90 kuhakikisha wanapata vibali vinavyohitajika vya kuwa nchini. Hatua hiyo imezua hali ya taharuki miongoni mwa baadhi ya wageni.
Advertisement
Advertisement





