Back to home

Viongozi wanawake waonya dhidi ya ghasia za kisiasa Embu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2026
1h ago
Viongozi wanawake wameonya dhidi ya ghasia za kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2027. Nyaga amesema ghasia za Nembure ni onyo kwa Wakenya wote na ametoa wito wa kudumisha amani.
Advertisement