Back to home

Junior Starlets yaanza maandalizi ya kombe la dunia Morocco

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2026
1h ago
Timu ya taifa ya wasichana chini ya miaka 17, Junior Starlets, imeanza maandalizi kuelekea Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Morocco mwezi Oktoba.
Advertisement