Back to home

Wanaharakati wazidisha kampeni dhidi ya dhuluma za kijinsia bonde la ufa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2026
1h ago
Wanaharakati wanaopigania kukomeshwa kwa dhulma za kijinsia kaskazini mwa bonde la ufa wamezidisha kampeni ya kukomesha dhulma hizo katika jamii,kampeni yao ikiwalenga makocha wa riadha ili kuwahamasisha kuchangia kwenye vita hivyo.
The Online Kenyan Android App

Take Kenya's news with you

Breaking stories, daily briefs, and the topics you follow - on your phone, free.

Get the Kenyan News appFree Android app on Google Play