Video News4 videos from 3 sources
Ruto atia saini sheria ya kupunguza VAT ya mafuta kutoka 16% hadi 8% - April 2026
Rais William Ruto ametia saini mswada wa Marekebisho ya Ushuru wa Thamani (VAT) unaopunguza ushuru wa mafuta kutoka asilimia 16 hadi 8 kwa muda wa miezi mitatu. Hii ni baada ya serikali kutafuta msaada wa dharura kutoka Benki ya Dunia kukabiliana na gharama ya juu ya mafuta. Hata hivyo, wakazi wa Makueni wamesema bei mpya za mafuta bado hazijapunguza makali ya gharama ya maisha. Mbali na hayo, Mstaafu Jaji Mkuu David Maraga amekashifu ufisadi katika mpango wa uagizaji mafuta kati ya Kenya na mataifa ya Kiarabu.
Rais Ruto ametia saini sheria ya kupunguza VAT kutoka 16% hadi 8% ili kupunguza gharama ya mafuta
KTN News (Youtube)
More Videos
Advertisement
More from Friday, April 17, 2026



Video News3 stories
Aflatoxin inaendelea kuathiri mazao na usalama wa Chakula nchini - April 2026
K
C



Entertainment & Culture3 stories
Betty Kyallo And Partner Charlie Welcome Baby Girl Nova Aurora - April 2026
G




Video News4 stories
Gachagua atishia maandamano iwapo ushuru wa mafuta hautaondolewa - April 2026
K
N


