Familia yangojea ripoti ya upasuaji ya mwili wa Ojwang'
About this video
Familia ya Albert Ojwang inasubiria matokeo ya uchunguzi wa maiti ambayo inatarajiwa kutolewa leo baada ya kifo chake tatanishi mikononi mwa polisi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discu..