Mchakato wa kumtimua Gavana Abdi Guyo wa Isiolo waanza
About this video
Bunge la kaunti ya Isiolo limeanzisha mchakato wa kumtimua Gavana wa kaunti hiyo Abdi Guyo, kwa madai kuwa amekuwa akizitumia fedha za kaunti hio na afisi yake vibaya.Mswada wa kumg’atua uliowasilishwa na mwakilishi wadi wa Sericho Abubakar Godana umepata ungwaji mkono wa wawak..