Back to home

Wakaazi wataka barabara ya Kericho-Kisumu na ile ya Kericho-Litein uliokwama ukamilishwe

video
June 11, 2025
20 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Madereva wa magari, waendeshaji wa bodaboda na wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Kericho-Kisumu wamewasilisha malalamishi kwa wizara ya uchukuzi wakitaka mradi wa makutano ya barabara ya Kericho-Kisumu na ile ya Kericho-Litein uliokwama ukamilishwe kwa haraka. Subscribe to NTV..