Murang'a yahimiza wawekezaji kujenga viwanda kwenye ardhi iliyotengwa
About this video
Serikali ya kaunti ya Murang'a imewahimiza wawekezaji kutumia motisha uliotolewa na kuanzisha viwanda vya utengenezaji kwenye ardhi iliyotengwa kwa ajili ya viwanda. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions..