Wito wazidi kumshinikiza DIG Lagat kujiuzulu
About this video
Wito unaendelea kutolewa kumshinikiza Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi Eliud Lagat kufuatia madai ya kuhusika pakubwa na kifo cha Albert Ojwang katika Kituo cha Polisi cha Central hapa Nairobi. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya ..