Back to homeWatch Original
Afisa wa polisi James Mukhwana apasua mbarika kuhusu kifo cha Albert Ojwang
video
June 16, 2025
15 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Afisa wa polisi James Mukhwana, ambaye anazuiliwa kuhusiana na mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang’, amepasua mbarika akidai kupewa maelezo ya kumtia adabu. Mukwana akisema mkuu wa kituo cha Central Samson Taalam alimpa maelekezo haya ambayo yaliripotiwa kutoka kwa naibu inspekt..