Back to home

Afisa wa polisi James Mukhwana azuiliwa siku 21 kufuatia mauaji ya Ojwang’

video
June 20, 2025
12 days ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Afisa wa polisi James Mukhwana na ambae ni mshukiwa kwenye kesi ya mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang', atazuiliwa kwa kipindi cha siku 21 ili kuruhusu uchunguzi wa kina kufanywa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Ge..