Kericho: Jamii ya Wanubi wailalamikia serikali kuhusu barabara mbovu
About this video
Jamii ya Wanubi wanaoishi pembezoni Mwa mji wa Kericho, wameelezea malalamiko yao dhidi ya serikali ya Kaunti ya Kericho kwa kushindwa kukarabati barabara duni katika eneo hilo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates,..