Back to home
Wahuni waliojihami kwa marungu na mijeledi wavamia waandamanaji
video
N
NTV Kenya (Youtube)June 17, 2025
1y ago
Mitaa ya Nairobi iligeuza uwanja wa patashika na uharibifu sehemu ya waandamanaji wakikabiliana na vijana wanaodaiwa kuwa wahuni kwa pikipiki wakijihami kwa marungu na mijeledi.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates,
Advertisement
Advertisement





