Back to homeWatch Original
Makundi mawili yajibizana kuhusu bajeti ya kaunti
video
June 19, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa Fedha katika serikali ya kaunti ya Tharaka nithi, Lawrence Rweria, amewasilisha bajeti ya mwaka wa kifedha 2025/2026 mbele ya Bunge la Kaunti, bajeti inayokadiriwa kugharimu shilingi bilioni 6.8..