Back to homeWatch Original
Hospitali imeharibika kiasi cha kutofaa kwa wagonjwa
video
June 19, 2025
13 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Maseneta wamekumbana ana kwa ana na hali mbaya ya hospitali ya kaunti ndogo ya Timau kaunti ya Meru ambako majengo yake yameharibika na uchafu kuzagaa hospitalini. Mbali na hali hii, huduma za hospitali kamwe hazijakuwa zikitolewa kwani hakuna wahudumu wa afya ya kutosha na hata ..