Back to home

Esther Passaris aibua utata tena kwa mapendekezo ya kudhibiti maandamano

video
July 2, 2025
about 12 hours ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Sio mara ya kwanza mwakilishi wa kike Esther Muthoni Passaris anaibua utata. Kabla ya kuwaghabisha wengi kwa kupendekeza maandamano yadhibitiwe hapo jana, miaka miwili iliyopita Passaris aliwasha moto kwa mara nyingine, baada ya kupiga kura ya kupitisha mswada wa fedha wa mwaka 2..

Esther Passaris aibua utata tena kwa mapendekezo ya kudhibiti maandamano (Video)