MAKABURI YA MAANDAMANO: Wazazi waliowapoteza watoto wasalia na simanzi
About this video
Msemo wa uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi umeendelea kuwaathiri wazazi waliowapoteza vijana wao wachanga kwenye mandamano ya gen z ya mwaka jana. Kwa familia hizi, juni 25 ilikuwa mwanzo wa uchungu usio na kifani watoto wao walipouwawa kwa mtutu wa bunduki. Ni uchungu ambao wana..