Back to home
Familia za vijana waliouawa wakati wa maandamano ya mwaka jana wakabiliwa na maafisa wa polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)June 25, 2025
5mo ago
Familia za vijana waliouawa wakati wa maandamano ya mwaka jana walikabiliwa na gesi ya kutoa machozi walipokuwa wakishiriki maandamano ya amani kuwakumbuka wapendwa wao. Miongoni mwa waliokabiliwa na tukio hilo ni jamaa za marehemu na watetezi wa haki akiwemo aliyekuwa Jaji Mkuu
Advertisement
Advertisement





