Back to home

Jamhuri ya Machozi: Waathirika wa maandamano wanalilia

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 12, 2025
13h ago
Waathiriwa na familia za waliofariki au kujeruhiwa kwenye maandamano ya Gen Z hawakuwa na sababu ya kusherehekea sikukukuu ya Jamhuri hii leo. Waathiriwa hao walijumuika kuelezea masononeko na mahangaiko ambayo wanazidi kupitia huku serikali ikikosa kuwajibikia dhulma.
Advertisement