Back to home

Mvulana alipigwa risasi akiwa mjini Kitale, Trans nzoia

video
June 26, 2025
20 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 17 amelazwa katika hospitali ya Wamalwa Kijana mjini Kitale akiuguza majeraha ya risasi, kufuatia maandamano ya Gen Z yaliyogeuka kuwa vurugu katika mtaa wa Matisi, kaunti ya Trans Nzoia...

Mvulana alipigwa risasi akiwa mjini Kitale, Trans nzoia (Video)