Walioshutumiwa kwa vurugu wakati wa maandamano wafikishwa mahakamani
About this video
Washukiwa watatu wanaoshutumiwa kupanga na kuchochea vurugu na uporaji wakati wa maandamano wiki iliyopita wataendelea kuzuiliwa hadi Jumatano wiki hii ambapo mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu ombi lao la kutaka waachiliwe kwa dhamana. Kizazaa kilishuhudiwa katika mahak..