Back to homeWatch Original
Amin: watu 485 walikamatwa wakati wa maandamano
video
July 1, 2025
about 7 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Upelelezi Mohammed Amin amesema idara hiyo haimtafuti aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua, kufuatia machafuko yaliyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya gen z jumatano iliyopita...