Back to home

Inspekta jenerali akosa kufika mahakamani kama alivyoagizwa

video
July 1, 2025
about 12 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Maafisa wa upelelezi DCI wameiambia mahakama kuwa hawakumkamata mwanablogu Ndiang'ui Kinyagia. kwenye kesi ambapo inspekta jenerali wa polisi douglas kanja alitakiwa kuhudhuria kama alivyoagizwa ili kueleza aliko ndiang'ui, maafisa wa DCI wanasema kuwa wanamtafuta mshukiwa huyo w..