Back to home

Mwenyekiti amkashifu Gachagua kwa madai ya kueneza chuki

video
July 2, 2025
2 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mwenyekiti wa Kitaifa wa Baraza la jamii ya MAA , Kelena Ole Choe, amekashifu matamshi ya viongozi wa upinzani siku tatu zilizopita mjini Narok akidai aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anachochea wakazi..