Wanataaluma wenye biashara za kibinafsi kutozwa ushuru
About this video
Kuanzia Julai mosi, serikali ya kaunti ya nyeri itaanza kuwatoza ushuru wataalamu kama vile madaktari na mawakili wanaoendesha biashara zao binafsi, ili kuifadhili ipasavyo bajeti ya kaunti hio ya kima cha shilingi bilioni 8.5 ndani ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026..