Wanakijiji wafunzwa mbinu za kudhibiti ukeketaji Kuria, Migori
About this video
Wanakijiji zaidi ya 1,700 katika Maeneo ya Kuria kaunti ya Migori wamehamasishwa na kuelimishwa kuhusu namna ya kuwasilisha ujumbe na kutangamana na wanajamii kama njia moja ya kukomesha dhuluma kwa mtoto wa kike..