Kindiki ametetea michango kwa makundi mbalimbali
About this video
Naibu rais Kithure Kindiki sasa ametetea michango ya hivi punde kutoka viongozi mbali mbali, akisema michango hiyo inawiana na malengo ya mpango wa bottom up. Akizungumza kaunti ya Tana River, Kindiki alisema kuwa serikali pia itahakikisha uwepo wa miradi ya maendeleo kote nchini..