Back to home

Rais Ruto ayataka mataifa yaliyostawi kuwekeza Afrika

video
July 2, 2025
about 13 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto ameyataka mataifa yaliyoimarika kiuchumi duniani kulitizama bara la Afrika kama uwanja mkubwa wanaoweza kuwekeza, ili kusaidia kuboresha maisha ya zaidi ya watu bilioni 1.5, kupitia mali yake ghafi ya madini. Rais aliyezungumza kwenye mdahalo wa Afrika jijini Lo..