Mwanagofu Christine Kamais ang'ara kama Mkenya bora kwenye mashindano ya wanajeshi Diani
About this video
Mwanagofu Christine Kamais aliibuka kuwa bora zaidi miongoni mwa Wakenya katika makala ya 16 ya mashindano ya wanajeshi duniani yaliyofanyika Diani, Kaunti ya Kwale. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya ne..