Mwanajeshi Umar Akash wa India ashinda makala ya 16 Diani, Kwale
About this video
Umar Akash kutoka India ndiye mshindi wa makala ya 16 ya mashindano baina ya wanajeshi duniani ambayo yamekamilika hii leo katika uwanja wa Diamonds Leisure Beach mjini diani kaunti ya Kwale. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya..