Msongamano wa wanafunzi katika shule ya Mwaghogho
About this video
Kufuatia kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi katika shule ya upili ya Mwaghogho eneo bunge la Voi, hazina ya ustawishaji eneo bunge hilo imejenga bweni katika shule ya upili ya Mwaghogho kwa shilingi milioni 15. Mbunge wa Voi Khamisi Chome akisema kwa muda wanafunzi wamekosa malazi..