Back to homeWatch Original
Duale asema waporaji wa fedha za SHA kuchukuliwa hatua wiki ijayo
video
August 30, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa afya Aden Duale sasa anasema watuhumiwa wa uporaji wa fedha za SHA watakamatwa wiki ijayo. Duale amesema serikali haitalegeza kamba kwenye vita dhidi ya hospitali zinazoendeleza wizi wa pesa za SHA. Alisema hayo huko Narok ambako aliandamana na msaidizi wa Rais, Farouk ..