Back to homeWatch Original
Uporaji wa SH: Rais Ruto asema hospitali zitafunguliwa mashtaka
video
August 30, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Rais William Ruto amesema hospitali elfu moja ambazo leseni zao zimefutwa kwa kujaribu kunufaika kwa udanganyifu kupitia Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) zitafunguliwa mashtaka..