Back to home

Mtu mmoja auawa Samburu kwenye wizi wa mifugo

video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mtu mmoja ameuwawa katika katika uvamizi wa punde wa wizi wa mifugo katika kaunti ya Samburu. Majahili waliojihami Kwa bunduki wanaaminika kuvamia Kijiji Cha stima eneo la Lolmolog Samburu magharibi na kuwashambulia wafugaji waliokuwa malishoni na kumuua mwendazake papo hapo kabl..

Mtu mmoja auawa Samburu kwenye wizi wa mifugo (Video)