Back to home

Rais William Ruto adai kuwa maandamano ni jaribu la kupundua serikali

video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto sasa anasema maandamano ya Sabasaba yalikuwa majaribio ya kuipindua serikali yake, akisema wote waliohusika kuwachochea waandamanaji watakamatwa na kufungwa. Akizungumza hapa Nairobi, Rais Ruto ametoa amri kwa maafisa wa polisi kuwapiga risasi wahuni ambao watah..

Rais William Ruto adai kuwa maandamano ni jaribu la kupundua serikali (Video)