Back to homeWatch Original
Kenya & Uganda yakosoa hatua Tanzania kupiga marufuku raia wa kigeni kufanya baadhi ya biashara humo
video
July 30, 2025
20h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Rais William Ruto na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wameonekana kuikosoa hatua ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, ya kupiga marufuku raia wa kigeni kufanya baadhi ya biashara nchini Tanzania. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get th..