Back to homeWatch Original
Rais Ruto na Museveni watia saini makubaliano ya kutatua mzozo wa kisiwa cha Migingo
video
July 30, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
RAIS WILLIAM RUTO NA MWENZAKE WA UGANDA YOWERI MUSEVENI WAMETIA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KUTATUA MZOZO KUHUSU UMULIKI WA KISIWA CHA MIGINGO. MARAIS HAWA WAWILI WAKISEMA WAMEKUWA NA MAKUBALIANO KUHUSU NAMNA YA KUTUMIA RASILMALI ZA KISIWA HICHO KWA AMANI...