Back to home

Wakulima Kisumu watumia minyoo na wadudu kuongeza rotuba

video
July 9, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakulima mjini Kisumu wanaboresha rotuba ya udongo kwa kutumia minyoo na wadudu hai wanaowekwa kwenye bua za mazao ya mpunga. Wakulima wamefanikiwa kuongeza mavuno, kupunguza gharama za uzalishaji na kulinda mazingira kwa kutumia mbinu hii endelevu...