Back to home

Serikali imefunga viwanda vya sukari magharibi

video
July 10, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali imefunga kwa muda viwanda vya sukari katika eneo la magharibi kufuatia uhaba wa miwa. katika juhudi za kuhakikisha ustawi wa sekta ya sukari nchini, serikali imetangaza kuwa viwanda vilivyoko eneo la magharibi vitafungwa kwa miezi mitatu kuanzia Julai tarehe 11 mwaka huu..