Back to homeWatch Original
Mwalimu wa dhuluma Alliance asimamishwa kazi kufuatia maandamano
video
July 10, 2025
7 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katibu wa Elimu Julius Bitok ameamuru kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa mwalimu mmoja wa shule ya kitaifa ya wasichana ya Alliance, kufuatia madai kuwa amekuwa akifanya mapenzi na wanafunzi. amri ya Bitok inajiri huku wanafunzi wa zamani wa shule hiyo wakiandamana nje ya shul..