Back to home

Mashirika ya kutetea haki yamkosoa Rais Ruto

video
July 11, 2025
about 21 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu mjini Mombasa inaitaka serikali kutafuta suluhu kuhusu malalamishi ya vijana badala ya kutumia vitisho. Wakizungumza huko Mombasa, wanaharakati hao wamelaani amri iliotolewa na Rais William Ruto na kuungwa mkono na Mbunge wa Belgut Nelson K..