Back to home

Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amlaumu serikali kwa ghasia za maandamano

video
July 11, 2025
about 20 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameilaumu serikali, akisema inapaswa kuwajibikia machafuko, vifo, na uharibifu wa mali uliooshuhudiwa nchini kwenye maandamano ya sabasaba ya Jumatatu..