Back to home

Wakazi wa Napeitom Kapedo wanahangaika kuwapeleka wana wao shule

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 12, 2025
4mo ago
Wakaazi wa Eneo la Napeitom huko Kapedo, Turkana East wanaendelea kuhangaika kwa miaka mitatu sasa kw akukosa shule ya kupeleka watoto wao. Hii ni baada ya shule ya kipekee ya msingi ya Napeitom iliyokuwa kijijini humo kuteketezwa na majangili wanaoaminika kutoka kaunti jirani..

More on this topic

Safety and Justice Issues in Kenya

Calls for justice after deaths during protests and warnings about police actions and their impact on citizens.

3 stories in this topic
View Full Coverage